DHUMUNI LA HUDUMA: Mungu alimpa mtumishi wake Joshua H Mbeke upako wa kufungua wale wote waliofungwa katika vifuno mbalimbali kama laana, mafundo, uchawi, dhambi za asili, mizingiro, minyororo na kila aina ya vifungo vinavyotesa wanadamu katika hii dunia (Isaya 51:14)
MATARAJIO YA HUDUMA Huduma ya KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY inatarajia kuwa matawi dunia nzima ili tuweze kuhubiri neno la Mungu na kutoa huduma ya uponyaji dunia nzima na kupambana na mateso ya shetani kwa wana wa Mungu kupitia mitandao na matawi tutakayofungua katika nchi mbalimbali dunian
Pastor Joshua H Mbeke
KERITH WORLD DELIVERANCE MINISRTY ni huduma ya kiroho inayoongozwa na Pastor Joshua H Mbeke yenye kauli mbiu "SAA YA KUFUNGULIWA KWAKO IMEFIKA"