MATANGAZO

Bwana Yesu Asifiwe,wapendwa tunapenda kuwajulisha kwamba tunajiandaa kutengeneza DOCUMENTARY ya huduma ambayo itajumuisha tokea tulipotoka mpaka tulipo sasa na pia itaonyesha watumishi na watu mbalimbali walioshiriki nasi katika ujenzi na ukuaji wa huduma hii mpaka sasa.Endelea kuwa nasi na Ubarikiwe sana


                                            AMINA


                              KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY                                                        

Makongo juu hapa Dar es salaam.ILI UFIKE KERITH FUATA MAELEKEZO HAYA: Ukiwa Dar es salaam nenda mpaka kituo cha mabasi cha Mwenge,ulizia mabasi yaendayo makongo juu ambayo husimama upande wa geti la kutokea mabasi na baada ya kupanda mabasi hayo hakikisha utashuka kituo cha Songas au mwambie konda akushushe kituo hicho.Uikfika na kushuka kituo cha songas utaona kibao kimeandikwa KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY halafu fuata bango hilo.KWA MAWASILIANO ZAIDI NI: 0712 - 123366,0756 - 802917 au kwa email hizi himidijoshua2012@yahoo.com na himidijoshua@gmail.com

KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY at KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY - 6 days ago
KIJITO KWAYA WAKIMSIFU BWANA KATIKA MOJA YA IBADA NDANI YA KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY. 






Bwana Yesu Asifiwe,wapendwa mnaweza pia kuwasiliana na Pastor Joshua H Mbeke au masomo na huduma yake kwa ujumla kupitia facebook,ukiwa ndani ya facebook kama member search JOSHUA DELIVERENCE then like na kutuma request na hapo utakuwa umeshakuwa member wa KERITH WORLD DELIVERANCE MINISTRY.  MBARIKIWE

No comments:

Post a Comment